Search

147 results for Alodia Dominick :

  1. Vifo ajali ya daladala Kagera vyafika sita

    Ajali hiyo ilitokea jana Desemba 5, 2023 na kusababisha vifo vya watu wanne huku wengine 21 wakijeruhiwa na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu

  2. Wanne wafariki dunia, 21 wajeruhiwa Kagera

    Watu wanne wamefariki dunia na wengine 21 wakijeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Hiace iliyokuwa ikitokea Katoro Bukoba Vijijini, kuelekea Bukoba Mjini kupata ajali chanzo kikitajwa ni...

  3. Migogoro 45 ya kifamilia huripotiwa kila mwezi Bukoba

    Migogoro ya familia 45 hupokelewa kila mwezi katika Ofisi ya Ustawi wa Jamii Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.

  4. Wanne wafariki dunia, watano walazwa kwa kipindupindu Kagera

    Watu wnne wamefariki dunia kwa ugnjwa kipindupindu uliolipuka katika Kijiji cha Buchurago Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera tangu Novemba 29, 2023.

  5. Watano wa familia wafariki wakidhaniwa kula chakula chenye sumu

    Watoto watano wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji cha Nyakanazi Wilaya ya Biharamlo mkoani Kagera kwa kile kinachosadikika kula chakula chenye sumu.

  6. Kamati ya Bunge yaagiza fidia mgodi wa Nickel iharakishwe

    Zaidi ya Sh26.5 bilioni zitatumika kulipa fidia wananchi kupisha mradi wa kuchimba Nickel wilayani Ngara unaomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali yenye asilimia 16 na mwekezaji anayemiliki asilimia...

  7. Askofu Bagonza ataka jamii kuacha chuki, iwe na upendo

    Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Benson Bagonza ameitaka jamii kuwa na upendo, amani na kuacha chuki akidai kufanya hivyo wataongeza miaka ya...

  8. Bweni lateketea ikifikisha matukio 30 ya moto Kagera

    Matukio mengine 24 ya moto yaliyoripotiwa mkoani Kagera ndani ya kipindi hicho yanahusu watu kuchoma misitu na mbuga.

  9. Bweni la wanafunzi lateketea kwa moto Bukoba

    Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera, Zabron Muhumma amesema kuwa tukio hilo limetokea Saa 2:00 wa Oktoba 22, 2023.

  10. Mmoja afariki Bukoba maadhara ya mvua yakiendelea Kanda ya Ziwa

    Madhara ya mvua yameanza kuriptowa siku kadhaa baada ya tahadhari ya mvua za El Nino iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) huku mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa katika orodha ya...

Page 1 of 15

Next